Wednesday 29th, November 2023
@
Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kupokelewa katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda kata ya Hunyari ukitokea katika Halimashauri ya Mji wa Bunda tarehe 29/05/2019.
Mwenge unatarajia kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo iliyopo Wilayani Bunda katika sekta za elimu, afya na maji.
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754821313
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda