Friday 29th, March 2024
@
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene atafanya ziara ya kikazi wilayani Bunda Mkoa wa Mara tarehe 19/6/2017 ambapo pamoja na mambo mengine anatarajiwa kutembelea eneo lenye mgogoro wa kiumiliki baina ya Halmashauri 3 za Butiama, Serengeti na Bunda maarufu kama Sambusa.
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754821313
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda