Posted on: November 18th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Bunda siku ya tarehe 18/11/2025 imepokea viti na meza kutoka bank ya CRDB, kwa ajili ya shule mpya ya Sekondari Manchimweru iliyopo kata ya Mihingo.
...
Posted on: November 7th, 2025
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, Ndugu, Oscar J. Nchemwa, siku ya tarehe 7/11/2025 alipokea boti mpya ambayo imenunuliwa kutoka kampuni ya Nile fishnet motors, yenye th...
Posted on: September 10th, 2025
Mafunzo ya mfumo wa FFARS yametolewa kwa watumishi ngazi za vituo katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, ambapo yalihusisha watumishi wa Afya, elimu, watendaji wa kata na vijiji.
Mafun...