• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Agriculture,Irrigation&Co-Op

Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika.

Utangulizi:

Jukumu kuu la Idara hii ni kuhamasisha, kuboresha na kusimamia utoaji wa huduma za maendeleo ya kilimo, Umwagiliaji na Ushirika katika Halmashauri ya Wilaya kwa kushirikiana na wadau mbalimbali.

Majukumu ya idara:

  1. Usimamiaji wa matumizi ya pembejeo za kilimo katika Vijiji na Kata.
  2. Kutoa elimu/ushauri kwa wakulima juu matumizi ya mbolea na madawa na hifadhi ya udongo.
  3. Kufanya tathmini kuhusu hali ya chakula katika Halmashauri ya Wilaya.
  4. Kusimamia, kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Miradi ya Maendeleo ya Kilimo Wilayani  (District Agriculture Development Projects – DADPs).
  5. Kutoa huduma za Ugani.
  6. Kutoa mbinu mpya kwa wakulima ili kuongeza uzalishaji.
  7. Kuboresha vyama vya ushirika.
  8. Kuimarisha ushirika wa akiba na mikopo.
  9. Kutoa mafunzo/elimu kuhusu vyama vya ushirika.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI BUNDA DC September 25, 2023
  • TANGAZO LA KAZI YA UKUSANYAJI WA MAPATO HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA September 12, 2023
  • TANGAZO LA ZABUNI / MAFUNDI UJENZI September 06, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI BUNDA DC September 08, 2023
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA YA BUNDA AKIFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA BIASHARA

    September 23, 2023
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA YA CHANJA MBWA ZAIDI YA MIA MOJA NA PAKA MMOJA

    September 30, 2023
  • MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA AKIFUNGA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI.

    September 29, 2023
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA YA ADHIMISHA WIKI YA AFYA NA LISHE

    September 27, 2023
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kilimani Street

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0677002976

    Hamishika: 0783669938

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda