Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda anapenda kuwataarifu Watanzania wote walioomba kazi nafasi ya Dereva Daraja II , na Msaidizi wa kumbukumbu Daraja la II, nafasi zilizotangazwa kupitia tangazo lenye Kumb. Na HB/W:20/22/Vol.VI/406 la tarehe 04/05/2023 kuwa usajili unatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Krasta Kibara Makao Makuu ya Halmashauri kwa sasa kuanzia saa 1:00 Asubuhi.
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754335739
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda