Tangazo jipya la Kuwaita Kwenye Usaili VEO III.pdf
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA ANAPENDA KUWATAARIFU WOTE WALIIOMBA KAZI KATIKA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III, KUWA USAILI UNATARAJIWA KUFANYIKA KUANZIA TAREHE 29/04/2023 HADI TAREHE 30/04/2023 KATIKA UKUMBI WA CLASTA KIBARA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI KWA SASA KUANZIA SAA 2:00 ASUBUHI.
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754335739
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda