Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda anawatangazia Watanzaniawenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda kuombanafasi za kazi kumi (10) kama zilivyoainishwa hapo chini, baada ya kupokea Kibali chaAjira chenye Kumb. Na. 97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 pamoja na Kibali chaAjira Mbadala chenye Kumb. Na. FA.228/613/01/D/062 cha tarehe 09 Julai, 2024kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na UtawalaBora.
Bofya hapa chini:
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754335739
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda