Idara ya Utawala na Utumishi
UTANGULIZI:
Idara ya Utawala na Utumishi ni Idara pana inayojumuisha Ngazi za Vijiji na Kata. Hadi kufikia mwaka 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda ina Vijiji 79 na Kata 19.
Baadhi ya majukumu ya Idara hii ni kama ifuatavyo:
1. Kuratibu Mafunzo- Idara inashughulika na kuratibu na kuandaa mafunzo ya muda mrefu na muda mfupi.
2. Kuratibu Likizo – Idara inaratibu likizo zote za watumishi wa Halmashuauri ya Wilaya.
3. Upimaji Utendaji kazi wa wazi (OPRAS) - Idara pia inaratibu zoezi la Upimaji Utendaji kazi wa wazi yaani OPRAS kwa watumishi.
4. Kuratibu Mikopo ya Watumishi.
5. Kushughulikia malimbikizo ya Watumishi.
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754335739
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda