Idara ya Mifugo na Uvuvi.
Utangulizi:
Ufugaji ni shughuli kuu ya pili ya kiuchumi katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda. Aidha, Mtindo wa Ufugaji unaotumika na jamii kubwa ya wafugaji katika Wilayaya Bunda ni ufugaji huria (100% free range system) na wanyama wafugwao kwa sehemu kubwa ni wa asili.
Baadhi ya Majukumu ya Idara ni kama ifuatavyo:
Kitengo cha Uvuvi.
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754335739
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda