Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) kwa kushirikiana na Kampuni ya Abt Associates Inc. inayotekelza mradi wa Uimarishaji wa Sekta za Umma nchini Tanzania (PS3) inaendelea na utekelezaji wa maboresho kwenye sekta za umma ngazi ya Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa ambapo leo zoezi hilo limefanyika Wilayani Bunda Mkoa wa Mara ilikihusisha ngazi za vituo vya kutolea huduma. Mafunzo hayo yatafanyika leo 12/6/2017 na kesho 13/6/2017. Wahusika wakuu wa awamu hii ni Wahasibu wa Afya, Waratibu Elimu Kata na Wakuu wa Vituo vya Afya.
Kilimani Street
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0677002976
Hamishika: 0783669938
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda