Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe. Joshua Nassari anawatangazia wananchi wote wa Bunda kwamba kama kaya yako haijafikiwa na karani wa sensa hadi sasa toa taarifa kwa msimamizi wa kata yakona karani atafika kukuhesabu.
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754335739
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda