Posted on: February 7th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Bunda imepokea jumla ya msaada wa madawati 200 kutoka bank ya NMB tawi la Bunda siku ya tarehe 7/2/2025, ambapo meneja wa bank Kanda ya Ziwa, pamoja na timu nzima ya bank tawi...
Posted on: January 28th, 2025
Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ambaye ni diwani wa kata ya Iramba Mh. Charles Manumbu siku ya tarehe 28/1/2025 aliongoza wajumbe wa kamati ya fedha, uongozi na Mipango kutembelea na...
Posted on: January 27th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mh.Dkt Vincent Anney siku ya tarehe 27/1/2025 alifanya kikao na wafanyabiashara wa Wilaya ya Bunda akiwa na lengo la kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali wanazokabiliana...