Posted on: July 15th, 2024
Walimu Wakuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda watwaa ubingwa wa bao 2-1 dhidi ya Watumishi wa Makao Makuu, katika mechi iliyochezwa siku ya tarehe 13/7/2024 katika uwanja wa shule ya msingi Mwibara.
...
Posted on: July 4th, 2024
Meneja wa Bank ya NMB tawi la Bunda Ndugu Fancis Kasili siku ya tarehe 3/7/2024 alitembelea Halmashauri ya Wilaya ya Bunda iliyopo Kibara Stoo na kufanya kikao na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ...
Posted on: July 3rd, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, Ndugu George S. Mbilinyi siku ya tarehe 2/7/2024 alipokea boti mpya ambayo imenunuliwa kutoka kwenye kampuni ya Nile Fishernet Motors CO. LTD.
...