Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, anapenda kuwataarifu Watanzania wote walioomba nafasi za kazi zilizotangazwa kwa kushirikiana na shirika la Amref Health africa Tanzania kupitia mradi wa " Afya Thabiti" kwa tangazo lenye Kumb Na. HB/A20/111/47 la tarehe 15/8/2024, kuwa usaili unatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa KLASTA KIBARA tarehe 18/9/2024 kuanzia saa 1:30 Asubuhi.
Bofya hapa chini kwa maelezo zaidi:
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754335739
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda