• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KAMATI YA RUFANI NGAZI YA WILAYA WAPEWA MAFUNZO.

Posted on: November 5th, 2024

Msimamizi msaidizi wa uchaguzi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, Ndugu Modestus Chama alitoa mafunzo kwa kamati ya rufani ngazi ya Wilaya kwakusema lengo la mafunzo haya ni kwa ajili yakuwezesha wajumbe wote waliopo kwenye kamati hiyo kuweza kutolea maamuzi mapingamizi dhidi ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa serikali za mitaa.

Katika mafunzo hayo wajumbe walifundishwa kanuni na sheria za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa ajili ya kutambua sifa za wagombea pamoja na majukumu yao katika kamati hiyo ya rufani.

Mafunzo hayo yalitolewa siku ya tarehe 4/11/2024 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bunda ambapo mwenyekiti wa kamati hiyo ni katibu Tawala wa Wilaya ya Bunda Ndugu Salum Mtelela.

Wajumbe waliwashukuru wawezeshaji wote kwa kuweza kuwapatia mafunzo hayo na waliahidi kufanya kazi kwa haki katika kuhakikisha uchaguzi wa serikali za mitaa unakuwa wa huru na haki.

“Serikali za Mitaa,Sauti ya Wananchi,Jitokeze kushiriki Uchaguzi”

Matangazo

  • WALIOFAULU USAILI- JIMBO LA BUNDA NA KUITWA KWENYE MAFUNZO TAREHE 25/10/2025 NA 26- 27 /10/2025 KATIKA SHULE YA WASICHANA MARA October 17, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI October 11, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI October 11, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI August 27, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WATENDAJI WA KATA WAMETAKIWA KUENDELEA KUTOA ELIMU YA UHAMASISHAJI WA KUCHANGIA CHAKULA SHULENI

    November 21, 2025
  • MAAFISA UGANI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA KUFUATA KANUNI, SHERIA NA TARATIBU ZA KAZI

    November 20, 2025
  • CRDB BANK YAKABIDHI VITI NA MEZA KWA SHULE YA SEKONDARI MANCHIMWERU.

    November 18, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA YANUNUA BOTI MPYA KUTOKA KAMPUNI YA FISHNET MOTORS

    November 07, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Istagram page
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form
  • Baraza la Madiwani

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda