• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MRATIBU WA MRADI WA BCRAP ATAJA VIPAUMBELE VITAKAVYOENDA KUTEKLELEZWA KWA AWAMU YA PILI YA MRADI

Posted on: June 11th, 2025


Katika kikao cha kamati ya usimamizi na utekelezaji wa mradi wa kuhimili athari za mabadiliko ya Tabianchi (BCRAP), kilichofanyika siku ya tarehe 11/6/2025. Mratibu wa mradi alieleza baadhi ya vipaumbele vitakavyoenda kutekelezwa kwa kipindi cha awamu ya pili ya mradi.


Mratibu wa mradi Ndugu Johaness Bucha alieleza vipaumbele kadhaa ambavyo vitaenda kutekelezwa katika kipindi cha awamu ya pili ya mradi kinachoanzia mwezi wa Saba hadi wa Tisa, 2025.


Ndugu Bucha alisema, katika kipindi cha awamu ya pili, timu ya wataalamu wanaosimamia mradi huo wamepanga kutekeleza zoezi la utoaji wa elimu kwa vikundi ambavyo ni wanufaika wa mradi na kuongeza ufuatiliaji wa Mara kwa mara kuhakikisha vikundi vinatekeleza mradi kama walivyoelekezwa na wataalamu wa mradi, Pia, kuwezesha kuwanunulia vikundi vya kilimo mbegu Bora za zao la Alizeti na kupewa elimu ya usindikaji wa mazao hayo.


Kusimamia utengenezaji na usajili wa katiba ya umoja wa umwagiliaji katika skimu ya mpunga Mchigondo, kuwezesha uanzishwaji na uendelezaji wa vitalu vya miti na matunda, kusambaza na kusimika mizinga ya Nyuki, kusimika miundombinu ya kufikisha maji katika shamba la Mchigondo, ambapo wanatarajia kuanzisha skimu ya umwagiliaji ya Mpunga.


Hivyo, ni baadhi ya vipaumbele ambavyo vinatarajiwa kwenda kutekelezwa katika mradi kwa awamu ya pili.


Naye, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Ndugu George S Mbilinyi ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya usimamizi na utekelezaji wa mradi alishauri wasimamizi wa utekelezaji wa mradi huo kuhakikisha wanasimamia mradi vizuri ili uwe endelevu katika sekta zote, kuhakikisha wanafuata kanuni, Sheria na taratibu zote za manunuzi kupitia mfumo wa NeST.


Ndugu Mbilinyi aliomba timu nzima kushirikiana kwa pamoja katika kuhakikisha wanatekeleza mradi katika sekta zote na unakuwa endelevu na tija kwa wananchi wote wa Halmashauri ya Bunda.


Mradi wa kuhimili athari za mabadiliko ya Tabianchi unasimamiwa na kutekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, ukifadhiliwa na Mfuko wa Mazingira wa Dunia (Adaptation Fund), chini ya usimamizi wa Baraza la uhifadhi wa mazingira (NEMC).

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 07, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WATENDAJI KATA NA MIJI WAAGIZWA KUENDELEA KUWEKA MSISITIZO KATIKA UHAMASISHAJI WA UCHANGIAJI WA CHAKULA SHULENI

    September 09, 2025
  • HALMASHAURI YAADHIMISHA JUMA LA ELIMU YA WATU WAZIMA NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI

    September 05, 2025
  • ELIMU IENDELEE KUTOLEWA KWA WANANCHI KULA VYAKULA VYENYE LISHE ILI KUPUNGUZA UTAPIAMLO

    September 05, 2025
  • TMDA WATOA ELIMU KWA WATUMISHI WA AFYA JUU YA UTOAJI WA TAARIFA ZA MADHARA NA MATUKIO YA VIFAA TIBA NA VITENDANISHI.

    August 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda