Katibu tawala wa Mkoa wa Mara Ndugu Gerald Kusaya siku ya tarehe 15/8/2025 ameupokea rasmi mwenge wa uhuru kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanal Evans Mtambi, kutokea mkoani Simiyu.
Ndugu Kusaya alisema mwenge wa uhuru utakimbizwa katika Halmashauri Tisa zilizopo ndani ya Mkoa WA mara, ambapo utatembelea, kukagua, kuzindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi 69 iliyopo katika Mkoa yenye thamani ya Tshs billionk 26.5.
Kauli mbiu ya mwenge wa uhuru kwa mwaka 2025 inasema:
"Jitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu, 2025 kwa Amani na Utulivu."
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika:
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda