Hakimu wa Mahakama ya mwanzo Mh. Oscar Lyimo siku ya tarehe 4/8/2025 amewaapisha wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya Kata, katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda.
Jumla ya wasimamizi wasaidizi 38 kutoka Jimbo la Mwibara na Bunda wameapa kiapo cha utii, kutunza siri na kujiondoa kwenye chama chochote cha siasa.
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika:
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda