• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WASHIRIKI 34 HALMASHAURI YA WILAYA BUNDA WAPATIWA MAFUNZO YA UHAKIKI KAYA MASIKINI KIPINDI CHA AWAMU YA TATU

Posted on: July 25th, 2020

Kaimu Mkurugenzi  Bw. Stafa Nashoni amefungua mafunzo ya TASAF  kwa Wawezeshaji ngazi ya Kijiji  kwenda kufanya uhakiki  taarifa za wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii  TASAF unayoelekeza mpango wa kuruhusu  kaya masikini.

 Amewataka wawezeshaji wote kufanya kazi kwa uwaminifu kutofanya  upendeleo wowote,ikiwa pamoja na na kutunza vitendea kazi walivyopatiwa”Mh: Rais alishaelekeza kuwa uhakiki  huu wa kipindi cha pili awamu ya tatu uwe wenye uweledi na umakini mkubwa ili kupata taarifa sahihi za walengwa katika maeneo yetu,hivyo nategemea kaya zote zitapatikana kihalali katika wilaya ya bunda”.alisisitiza

Alieleza zaidi kuwa  ni muhimu kila muwezeshaji kuhakikisha anafuata muongozo na utaratibu ambao umetolewa kati kazi hiyo.

Zakaria   Msomi  Muwakalishi wa Mkurugenzi TASAF  ameeleza malengo ya zoezi hilo kuwa ni kuondoa walengwa hewa,kujenga uelewa wa pamoja wa zoezi la uhakiki wa walengwa kwa mujibu kwa mujibu ya maelekezo ya Mhe Rais Dkt John Pombe magufuli wakati wa uzinduzi wa kipindi cha pili cha awamu ya tatu TASAF.

 “Uwepo wa kaya hewa  katika maeneo ya utekelezaji ni aibu sana kwa viongozi wa mikoa,Wilaya na Halmashauri.Serikali haitakuwa  na huruma na mtu yeyote.Kufanikiwa au kutofanikiwa kwenye maeneo yenu itakua  mojawapo ya vipimo ntakavyotumia kujua kama mnastahili kuendelea na nafsi mlizonazo au la. Siwatishi lakini huo ndo ukweli.”alisema mwakilishi wa TASAF

Mafunzo hayo ya siku mbili yatafanyika katika  ukumbi wa Halmshauri na wawezeshaji ni  Bw. Zakaria Msomi na Bw. Elius Muyomba  na ambapo jumla ya mada 9 zinatarajiwa kutumika katika mafunzo hayo.

Pamoja na hayo  tathimin ya serikali ya utekelezaji wa TASAF kipindi cha kwanza awamu ya tatu inaonesha umasikini nchini umepungua kwa   asilimia 10 na umasikini uliokithisiri asilimia 12.Kupitia mpango wa  kunusuru kaya masikini .

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI June 04, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRATIBU WA MRADI WA BCRAP ATAJA VIPAUMBELE VITAKAVYOENDA KUTEKLELEZWA KWA AWAMU YA PILI YA MRADI

    June 11, 2025
  • ZAIDI YA MILIONI 300 ZA POKELEWA KATIKA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUHIMILI ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI

    June 09, 2025
  • ELIMU YA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA YATOLEWA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MWIBARA

    June 04, 2025
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

    June 03, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda