• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

ZIARA YA KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO, KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO

Posted on: November 2nd, 2023

Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango (FUM), ikiongozwa na Mwenyekiti wa kamati ambaye ni Diwani wa Kata ya Iramba, Mh. Charles Manumbu, ilifanya ziara ya siku mbili ya kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda siku ya tarehe 31/10/2023 na tarehe 1/11/2023.

Kamati hiyo ilitembelea na kukagua maendeleo ya mradi wa Ujenzi wa jengo la Utawala la Halmashauri, lililopo Kibara Stoo, Mradi wa maji Kibara kuelekea Mumagunga, Mradi wa kitalu cha miche  kilichopo Kasahunga na Mradi wa Ujenzi wa shule ya Mkoa ya Wasichana iliyopo katika kijiji cha Bulamba, Kata ya Butimba.



Mradi wa shule ya Wasichana ya Mkoa wa Mara, uliopo Bulamba, kata ya Butimba.

Aidha, kamati ilikagua vifaa vya Mradi wa kuhimili Athari za mabadiliko ya Tabianchi (BCRAP) vilivyopo Kasahunga, vifaa hivyo ni mabomba ya maji, mabomba ya maji kwaajili ya mradi wa umwagiliaji kwenye sola, Pampu ya maji kwa ajili ya umwagiliaji katika kijiji cha Mchigondo, Mashine ya kusagia chakula cha samaki na mashine kwa ajili ya kutotoleshea vifaranga.



Ukaguzi wa mabomba ya maji yaliyopo Kasahunga


Mashine za kutotoleshea vifaranga, zilizopo Kasahunga


Kitalu cha miche, Kasahunga


Mradi wa maji uliopo Kibara.

Katika ziara hiyo, kamati iliongozana na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, Bw. Gervas Amata, pamoja na Wakuu wa Idara wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda.

Matangazo

  • TANGAZO LA MKOPO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA October 09, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI BUNDA DC September 25, 2023
  • TANGAZO LA ZABUNI / MAFUNDI UJENZI September 06, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI BUNDA DC September 08, 2023
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WALIMU WA SOMO LA HISABATI WA SHULE ZA MSINGI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WANOLEWA

    November 21, 2023
  • mKUTANO WA BARAZA LA KATA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA KUPOKEA TAARIFA MBALIMBALI ZA KATA

    November 15, 2023
  • WALIMU WAKUU WA SHULE ZA MSINGI NA MAAFISA ELIMU KATA WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WAPEWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA KATA

    November 14, 2023
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA YAPOKEA JUMLA YA VITABU 60,739 KWA SHULE ZA AWALI NA MSINGI, PAMOJA NA SEKONDARI

    November 13, 2023
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika: 0754821313

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda