• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

ZIARA YA MKURUGENZI WA AFYA, KUTOKA OR-TAMISEMI KUTEMBELEA NA KUKAGUA HOSPITAL YA WILAYA, KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA

Posted on: April 6th, 2024

Mkurugenzi anayeshughulika na masuala ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe, kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI, Daktari Rashid Mfaume siku ya tarehe 5/4/2024 alifanya ziara ya kutembelea na kukagua Hospitali ya Wilaya, iliyopo kijiji cha Bukama, Kata ya Nyamuswa.




Daktari Mfaume alisema, lengo la ziara ni kuangalia shughuli za ujenzi wa miradi ya Afya inavyotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, tumekuwa tukiangalia ubora wa huduma za Afya zinazotolewa na changamoto mbalimbali mnazopitia na kuona namna ya kuzitatua changamoto hizo.





Daktari Mfaume, pamoja na timu kutoka OR-TAMISEMI inayoshughulika na masuala ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe, walitembelea na kukagua eneo lote la Hospitali ya Wilaya, pamoja na majengo yote yaliyopo katika eneo hilo, kwa kuangalia changamoto mbalimbali zilizopelekea kutokukamilika kwa majengo mengine katika hospitali, hadi sasa ni majengo matatu tu ambayo yameshakamilika na kuanza kutoa huduma ambayo ni jengo la wagonjwa wa nje (OPD), jengo la dharura (EMD),  pamoja na jengo la mionzi.



Mbali na changamoto ya eneo la Hospitali kutokuwa rafiki, lakini masuala ya wizi wa vifaa navyo imepelekea kuchelewa kukamilika kwa ujenzi wa Hospitali, hivyo aliwataka watumishi na wananchi wote  kuhakikisha wanakuwa ni walinzi wa vifaa tiba ili waweze kupata huduma iliyo bora, na sio kuiachia kampuni ya ulinzi pekee.

“Hatutavumilia ubadhirifu wa aina yoyote ile katika uhujumu wa vifaa tiba vinavyoletwa katika Hospitali, Mh. Rais amekuwa akizitafuta fedha hizi za kununulia vifaa kwa gharama kubwa sana, lazima tuvilinde na kuvitunza vifaa tiba hivi.” Alisema Daktari Mfaume.

Naye, Mzee wa kijiji cha Bukama, Ndugu Adrew Makaza alisema mbali na kutokukamilika kwa majengo mengine ya Hospitali, tunawashukuru Madaktari kwa huduma nzuri wanazotupatia za matibabu mahali hapa, kutokana na eneo kuwa kubwa tunaomba mtuongezee idadi ya walinzi ili waweze kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa.

Mtendaji wa Kata ya Nyamuswa, Ndugu Hanington Teikwa Mugabe, alikiri kweli kuwepo na wizi katika Hospitali na tayari wameshachukua hatua katika kuimarisha ulinzi na usalama wa Hospitali kwa kuajiri kampuni ya ulinzi kwa ajili ya kulinda vifaa tiba mahali hapa, hivyo alimuhakikishia Daktari Mfaume suala la wizi wa vifaa tiba halitotokea tena.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI June 04, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRATIBU WA MRADI WA BCRAP ATAJA VIPAUMBELE VITAKAVYOENDA KUTEKLELEZWA KWA AWAMU YA PILI YA MRADI

    June 11, 2025
  • ZAIDI YA MILIONI 300 ZA POKELEWA KATIKA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUHIMILI ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI

    June 09, 2025
  • ELIMU YA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA YATOLEWA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MWIBARA

    June 04, 2025
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

    June 03, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda