Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 19/06/2025 hadi tarehe 23/06/2025 kuwa matokeo va waombaii kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Bofya hapa chini:
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika:
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda