Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda anawatangazia watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda nafasi ya kazi ya muda kwa ajili ya shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024.
Bofya hapa chini kwa maelezo zaidi:
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754335739
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda