Posted on: August 15th, 2025
Katibu tawala wa Mkoa wa Mara Ndugu Gerald Kusaya siku ya tarehe 15/8/2025 ameupokea rasmi mwenge wa uhuru kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanal Evans Mtambi, kutokea mkoani Simiyu.
...
Posted on: August 14th, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Ndugu George S Mbilinyi siku ya tarehe 14/8/2025 amewaaga rasmi watumishi wanaoelekea mkoani Tanga kwa ajili ya kushiriki kwenye mashindano ya SHI...
Posted on: August 5th, 2025
Hakimu wa Mahakama ya mwanzo Mh. Oscar Lyimo siku ya tarehe 4/8/2025 amewaapisha wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya Kata, katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda.
Jumla ya was...